Zifuatazo Ni Picha Zote za Matukio ya Jana kwenye Video Launching ya Muziki Gani...... |
| My super dancer Kushoto Moses Iyobo Kati Rama mpauka & Emma Platnum wakiwa na Vijana wanaotengeneza Nguo za Kundi zima la WASAFII wakati wowote wa show yoyote....... |
| Hatuelewi mpaka now watoboa Pua awajawasili....... |
| ''Kijana umejipanga leo,usitegeme viuno vitakusaidia leo stejini'' Nay akimsalimu Diamond alipowasili Maisha Club..... |
| Tukiwasili Maisha Club nikiwa na Crew yangu nzima ya wasafi na Nay wa Mitego pembeni with Mkong'oto Jazz Band..... |
| Hapa ndipo kwenye Uhusika zaidi....Black & White Carpets......Diamond Platnum & Nay wa Mitego.... |
| Abdallah....On set Planet Bongo........ |
| Hahahahahhaa Dimpoz bhana.......ACHA tu huyu jamaa asingekuwa Mwanamuziki angekuwa Comedian....... |
| True Boy akizungumza nao fans wake....... wa Manzese Hammi..... |
| Aaanhaaa...... Maisha Mtanielewa asa hivi au Baadae....'' Nay akiwauliza mashabiki waliofurika Ukumbini humo..... |
| Hyperman H.K ndo alikuwa msema chochote on the stage kusukuma Gurudumu... |
| Wasafi wakaanza kufanya Balaa lao taratibu...... |
| Tuimbe wote sasa.....Maisha Lets Go...... |
| Tuendeleeee ama tusiendeleeeeee............? |
| Kizai zai......ni mwendo wa viuno tu stejini...... |
| \ |
| Si ndio Diamond na Nay wakaanza kufanya yao stejini..... |
| Palikuwa Hapatoshi hapa kati....Patashika nguo kuchanika..... |
| Si ndio nikajua tayari Mwana Hip Hop Nshambadilisha.....ni mwendo wa kudono donoa tu..... |
| QBoy Msafiii along side with Ommy Dimpoz kwa pozi,B ckstage muda mchache baada ya Show..... |
| Baada ya show.....Interview kadhaa na Lugha Kali toka Clouds tv alonng side with my Boy Ttue oy |
No comments:
Post a Comment