BIKRA FEKI
WANAUME,kuweni makini na Bikra
feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa
mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie
kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa
Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao
wametumika kama Bajaj za Salasala,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji
halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na
hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA
SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila
ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele
analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo
kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia
taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe
mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchanganyiko wa parachichi na
tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu
chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize
kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na
beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona
hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za
makuti!
No comments:
Post a Comment